Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,358
Daaah!
Hatimaye nimemaliza michakato .Aisee!! kweli ualimu kazi!
Vitambulisho telee yani hapa inabidi niongeze wallet .
Ila Kusema ukweli naona halmashauri ya singida v imejipanga ,
Kuanzia mapokezi,registration hadi malipo ,hadi muda huu tushapewa pesa zetu za kujikumu na nauli za kutupeleka vituoni,hakuna uchakachuzi uliofanyika na tumepewa zote za siku saba.
Kwa wale mliochakachuliwa pesa zenu huko kwenye halmashauri zenu poleni ndo sirikali yetu hiyo.
Alamsiki........!!!(msije kuniibia vijisenti vyangu buree!!