Hii halmashauri ya Singida vijijini ipo vizuri

Hii halmashauri ya Singida vijijini ipo vizuri

Daaah! Hatimaye nimemaliza michakato .aisee!! kweli ualimu kazi! Vitambulisho telee yani hapa inabidi niongeze wallet ................ ila Kusema ukweli naona halmashauri ya singida v imejipanga ,kuanzia mapokezi,registration hadi malipo ,hadi muda huu tushapewa pesa zetu za kujikumu na nauli za kutupeleka vituoni,hakuna uchakachuzi uliofanyika na tumepewa zote za siku saba.......... kwa wale mliochakachuliwa pesa zenu huko kwenye halmashauri zenu poleni ndo sirikali yetu hiyo............ Alamsiki........!!!(msije kuniibia vijisenti vyangu buree!!

Karibu sana Sgd, hata mi mdau ila nipo Sgd mjini
Ukifika kituoni tujuze
 
yah kimaisha kama una mpango mkakati utatoka...kilimo ndio jibu .ufugaji na uuzaji mifugo..hata nyuki na asali......
mazingira ni pakame nadhani hata hapo town umeshaanza kuhisi hilo...
HIYO NI HALMASHAURI INAYOWAJALI NA KUWATHAMINI WALIMU WAKE KUPITA MAELEZO...hutokuja kulalamikia mshahara wala kupanda daraja..
...........
jipigepige uchukue sola ya size ya kati..usisahau line ya voda...N:B. uwe mpole ...nlichokiona ni mkoa wenye matukio ya ajabu yakiwemo mauaji kupita maelezo........(mmmh hapo kwenye mauaji mbona unanitsha inamana siku nikipata vijisenti vyangu nisijenge nyumba nzuri kuhofia kuuawa ama?
 
kujenga utajenga na hata maendeleo utayafanya....
my point is.. avoid mikwaruzano..ugomvi na migogoro ya aina yoyote na wazawa wa huko..ISHI LOW PROFILE LIFE usiwe mtu wa kujifanya bab kuuubwa.. shirikiana nao inapostahiki..na usipende kutembea usiku mnene
 
Back
Top Bottom