Hii Hapa: Boat Mpya ya Azam Kilimanjaro VIII -The Falcon of the Sea

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Nimepata hii picha chombo kikielekea kuzinduliwa.

Kwa ufupi ni boat mpya inayokuja kuendelea kutoa huduma kati ya Zanzibar na Dar Es Salaam.

Chombo kinaondoka kwa mara ya kwanza Bandari ya malindi saa 06;30 kuelekea Dar Es Salaam, nauli zitakuwa kama ifuatavyo.

Economy 30,000 πŸ‘‡πŸΎ
VIP 60,000 πŸ‘‡πŸΎ

Royal class 100, 000πŸ‘‡πŸΎ
 
Been a long time sijafika visiwa vya karafuu
Binti yupi yu tayari twende may mosi
 
Safi sana Mkuu..Hongera Azam......Weka ratiba ya wiki nzima hapa...
 
Safi sana Mkuu..Hongera Azam......Weka ratiba ya wiki nzima hapa...
Kwa taarifa za haraka chombo kipo njiani kwenda jijini Dar kwa sasa na kinarudi kulala Unguja, so nadhani kesho asubuhi kinang'oa nanga kuelekea Dar Es Salaam.

So kamata hiyo ratiba iweke gegoni mkuu!.
 
Niko hapa nangoja kuona kometi za matusi,sababu baadhi ya watanzania umasikini wao unawatuma kuchukia matajiri walipa kodi na kutoa ajiri kwa watanzania wenzetu wakidhani kuwa chukia matajiri itakuwa sababu yao kutoka kwenye lindi la ufukara na kuwa matajiri[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Kwa upande mwingine hawa matajiri nao wanatuchanganya sana mkuu.

Nilikuwa namsikiliza mmoja wa wanafamilia wa Bakhresa anaitwa Abdalah alipokuwa anaongea kuna sehemu kasema; 'pamoja na kununua hii vyombo bado wanapata hasara πŸ˜€!.
 
Chombo ya fundi
 
Kama dewji na simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…