Hii hapa ibada ya mazishi ya Katibu wa Chadema Manyoni aliyeuawa kinyama

Viongozi mbalimbali wameshawasili akiwemo Mwenyekiti wa Kanda ya kati Lazaro Nyalandu pia Mbunge wa Arusha na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini mh. Godbless Lema nae tayari amewasili kumuaga Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Manyoni marehemu Alex Joas aliyeuawa kikatili na watu wasiojulikana. Fuatilia
 
Before you claim it as a political event, tell as his characters and life style while he was alive.we want to know who was he, what happened!
Just a piece of advice any political or social movement with political motives has some pros and cons, however, not everything can be politicized.
 
Damu ya mtu huwa haimwagiki bure.Na hawa maafande waliposema sio kiongozi chadema walimaanisha nini?
Alikuja kukanusha akasema
"Mlininukuu vibaya" maofisa wa jeshi la polisi Tz watakuwa na mwisho mbaya sana huko mbele
Nani alijua kama B.W.M angekuja kujutia damu iliyomwagika Zbr kipindi cha uongozi wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…