20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,263
Roho pia zina grade mzee????lkn mbona polisi walisema aliyekufa alikuwa ni dereva wa bodaboda na wala sio kiongozi wa cdm?
nguvu ya anonymous [emoji185]
Roho pia zina grade mzee????lkn mbona polisi walisema aliyekufa alikuwa ni dereva wa bodaboda na wala sio kiongozi wa cdm?
Jamani tusifikie huko huenda ni maafisa wachache tu ndio wanalichafua jeshi(PT)Mkuu hili wazo siyo wewe peke yako wala waTz siyo waoga kama watu wanavyodhani, ila tuu ni busara na hekima za F.H Mbowe ndo zimebeba amani ya taifa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina
SawaBefore you claim it as a political event, tell as his characters and life style while he was alive.we want to know who was he, what happened!
Just a piece of advice any political or social movement with political motives has some pros and cons, however, not everything can be politicized.
Bila shaka, ni maafisa wajuu wanatoa amri waliobaki wanatekelezaJamani tusifikie huko huenda ni maafisa wachache tu ndio wanalichafua jeshi(PT)
Roger roger copied wakonjian wanakuja bossBefore you claim it as a political event, tell as his characters and life style while he was alive.we want to know who was he, what happened!
Just a piece of advice any political or social movement with political motives has some pros and cons, however, not everything can be politicized.
lkn mbona polisi walisema aliyekufa alikuwa ni dereva wa bodaboda na wala sio kiongozi wa cdm?
Wote tu unaweza kuta Ocd ana genge la askari wachache wanaonea watu. Na wanalindana.
Ndani ya masaa 24 walitakiwa watupe ukweli. Tanzania sasa hivi ni kijiji.Ni yeye alikua anafanya kazi ya bodaboda. Kwa wasiojua Wilaya ya Manyoni toka mwaka jana kumekuwa na matukio mengi ya mauaji. Watu takribani 10 wameuwa kwa namna hiyo ila kwa kuwa hili limegusa mwanasiasa watu wanalipeleka kisiasa. Kwa watu walipo Manyoni wala hawahusishi hicho kifo na siasa ni mitandaoni ambao hawajui mazingira yalivyo
Kutokana na mfumo mbovu uliopo nao unaruhusu waovu kufanya maovu yao piaWote tu unaweza kuta Ocd ana genge la askari wachache wanaonea watu. Na wanalindana.
Sana.Kutokana na mfumo mbovu uliopo nao unaruhusu waovu kufanya maovu yao pia
Jeshi la polisi lina madhaifu mengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
lkn mbona polisi walisema aliyekufa alikuwa ni dereva wa bodaboda na wala sio kiongozi wa cdm?
Kumbee n wauwaji hataa sipitii tenahukooNi yeye alikua anafanya kazi ya bodaboda. Kwa wasiojua Wilaya ya Manyoni toka mwaka jana kumekuwa na matukio mengi ya mauaji. Watu takribani 10 wameuwa kwa namna hiyo ila kwa kuwa hili limegusa mwanasiasa watu wanalipeleka kisiasa. Kwa watu walipo Manyoni wala hawahusishi hicho kifo na siasa ni mitandaoni ambao hawajui mazingira yalivyo
Sasa ulifikiri wangesemaje? Hivi haujui kuwa tulikofika sasahivi nikubaya Sana? Haujui kuwa polisi ya sasa mtu anaweza kufa mwanamke Halafu nao wakatangaza kuwa aliekufa ni mwanaume? Wanaweza wakamchukua wakamtoa nguo zooote wakasimama hapo hapo watu wapo wanaona kila kitu wao wanatangaza na speaker kuwa huyu ni mwanaume ndio kafa, walah tulikofika ni kubaya mno ila watu hawajashtuka watashtuka kumekuchalkn mbona polisi walisema aliyekufa alikuwa ni dereva wa bodaboda na wala sio kiongozi wa cdm?
Hakuna mtu anaeweza kuuwa halafu akajificha asijulikane bhana, ukiona mauaji yamefanyika na watuhumiwa hawajajulikana, jua kuwa polis Au usalama wa taifa Au Ccm Kati ya hao mmoja wao ndio mhusikaNi yeye alikua anafanya kazi ya bodaboda. Kwa wasiojua Wilaya ya Manyoni toka mwaka jana kumekuwa na matukio mengi ya mauaji. Watu takribani 10 wameuwa kwa namna hiyo ila kwa kuwa hili limegusa mwanasiasa watu wanalipeleka kisiasa. Kwa watu walipo Manyoni wala hawahusishi hicho kifo na siasa ni mitandaoni ambao hawajui mazingira yalivyo
Kimantiki na kiuhalisia nakubaliana na weweMuda wa kuingia msituni ndio huu