Hii hapa ibada ya mazishi ya Katibu wa Chadema Manyoni aliyeuawa kinyama

Sawa
 
Roger roger copied wakonjian wanakuja boss
 
polenisanaaa hapoo wameuana wenyewe kwa wenyewe kuna MTU karukwa mgaoo wa chama pesa balaa
 
lkn mbona polisi walisema aliyekufa alikuwa ni dereva wa bodaboda na wala sio kiongozi wa cdm?

Ni yeye alikua anafanya kazi ya bodaboda. Kwa wasiojua Wilaya ya Manyoni toka mwaka jana kumekuwa na matukio mengi ya mauaji. Watu takribani 10 wameuwa kwa namna hiyo ila kwa kuwa hili limegusa mwanasiasa watu wanalipeleka kisiasa. Kwa watu walipo Manyoni wala hawahusishi hicho kifo na siasa ni mitandaoni ambao hawajui mazingira yalivyo
 
Ndani ya masaa 24 walitakiwa watupe ukweli. Tanzania sasa hivi ni kijiji.
 
Kumbee n wauwaji hataa sipitii tenahukoo
 
lkn mbona polisi walisema aliyekufa alikuwa ni dereva wa bodaboda na wala sio kiongozi wa cdm?
Sasa ulifikiri wangesemaje? Hivi haujui kuwa tulikofika sasahivi nikubaya Sana? Haujui kuwa polisi ya sasa mtu anaweza kufa mwanamke Halafu nao wakatangaza kuwa aliekufa ni mwanaume? Wanaweza wakamchukua wakamtoa nguo zooote wakasimama hapo hapo watu wapo wanaona kila kitu wao wanatangaza na speaker kuwa huyu ni mwanaume ndio kafa, walah tulikofika ni kubaya mno ila watu hawajashtuka watashtuka kumekucha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtu anaeweza kuuwa halafu akajificha asijulikane bhana, ukiona mauaji yamefanyika na watuhumiwa hawajajulikana, jua kuwa polis Au usalama wa taifa Au Ccm Kati ya hao mmoja wao ndio mhusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…