Lyaule Kitundu
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 758
- 1,030
Then busara za namna hiyo hazina maana yeyote ile Ni vyema angepisha wengine wenye uthubutuMkuu hili wazo siyo wewe peke yako wala waTz siyo waoga kama watu wanavyodhani, ila tuu ni busara na hekima za F.H Mbowe ndo zimebeba amani ya taifa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi naamini walimaanisha hivyo, taasisi iliyojichokea na haina muda wa kujishughulisha. Inatafuta sababu nyepesi ikidhani Watanzania wote wameshikiwa akili kama wana ccm.
Mbowe anaamini sana katika diplomasia ila chama kingekuwa chini ya watu kama kina Lema, CCM ingekuwa hayati sasa hiviThen busara za namna hiyo hazina maana yeyote ile Ni vyema angepisha wengine wenye uthubutu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamarekani na washirika wao wanazidi kukusanya namba ya matukio kama haya. Wajanja wetu waendelee na ujinga wao tu.Hakuna polisi Tanzania , kuna kikundi cha ulinzi cha ccm
Hakuna polisi Tanzania , kuna kikundi cha ulinzi cha ccm
nimesikia hili jambo nimeogopa sana !Wamarekani na washirika wao wanazidi kukusanya namba ya matukio kama haya. Wajanja wetu waendelee na ujinga wao tu.
Sent using Jamii Forums mobile app