Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kwenu Umoja wa walimu Tanzania, Mnafiki hajifiki, wenye akili tunajua mpaka Naibu katibu aliweka wazi maana yake Katibu, naibu waziri, waziri, waziri mkuu, Rais, na Chama cha Mapinduzi (CCM) wote wanajua.
KAMA KWELI MAGUFULI ANA MAPENZI NA WALIMU, MWAMBIENI AONDOE HIKI KIPENGELE AMBACHO KINATAMKA WAZI KUANZISHA STASHAHADA NGAZI YA MSINGI.
Maana yake ni kwamba, ualimu ngazi ya cheti INAFUTWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaji wa CCM ni ujinga na wajinga ndio waliwao.
WaTZ wavivu wa kusoma. Haya, wasaidieni hawa Walimu kwa kuwasambazia Hii kitu[emoji116]