Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Ndalichako angetumbuliwaje wakati hajaandika yeye ile barua? Sema Dr. Semakafu hakujiongeza. Angesubiri uchaguzi upte kwanza ndipo atoe tamko kama lile. Kwa sasa hali ilivyo tense lile tangazo halina afya kwa wanasiasa waomba kura!Wamemtoa kafara... Mi nilijua wakutumbuliwa Ni waziri au katibu na sio naibu katibu...