Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kwa hiyo unataka kusema Dr. Ave Maria Semakafu alikurupuka kutoa ule waraka? Hakuwa na baraka za wakubwa?Hiyo ni maana yako, kwani kuanizisha kitu lazima kile cha zamani kifutwe!
Kwa hiyo unataka kusema Dr. Ave Maria Semakafu alikurupuka kutoa ule waraka? Hakuwa na baraka za wakubwa?
Kwan Jana N.K niwapi alisema atawaondoa walimu ????Kwani ni wapi wamesema walimu wenye ngazi ya cheti wanaondolewa ?
Mjinga mmoja..
Kwaiyo Naibu Katibu.. Ameondoshwa kwa kuonewa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alichokosea huyo mama nikutoa hilo tamko wakati wa kampeni tu.Wamemtoa kafara... Mi nilijua wakutumbuliwa Ni waziri au katibu na sio naibu katibu...
Ivi CCM huwa mnatumia nn kufikiria??Alichokosea huyo mama nikutoa hilo tamko wakati wa kampeni tu.
Angesubiri kampeni ziishe wala isingekuwa na tatizo.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kama lengo ndio hilo.Kuna ubaya gani kupandisha kiwango cha mwalimu? Mpaka miaka ya 80 kulikuwa na waalimu waliokuwa wakiitwa waalimu wa UPE. Hawa walikuwa wamemaliza shule ya msingi na walikuwa wakitumiwa kufundisha shule za msingi...
Alichokosea huyo mama nikutoa hilo tamko wakati wa kampeni tu.
Angesubiri kampeni ziishe wala isingekuwa na tatizo.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kuna ubaya gani kupandisha kiwango cha mwalimu? Mpaka miaka ya 80 kulikuwa na waalimu waliokuwa wakiitwa waalimu wa UPE. Hawa walikuwa wamemaliza shule ya msingi na walikuwa wakitumiwa kufundisha shule za msingi. Serikali ikaona si vyema mtu aliyefuzu shule ya msingi tu afundishe shule ya msingi. Daraja la ualimu huo likafutwa na ikawa kwamba walimu wa shule ya msingi wawe wamehitimu Form 4. Hii ni sawa kabisa. Kwa hiyo wazo la kumtaka mwalimu awe na stashahada ni la kupongezwa kwa kuwa litaboresha elimu. Kitu ambacho kitafanyika ni kwamba kuajiriwa ualimu itabidi uwe na stashahada. Waliopo kazini bila kuwa na stashahada wataendelea kuwa kazini mpaka kustaafu na watarithiwa na wenye stashahada. Hivyo ndivyo ilivyofanyika kwa waalimu wa UPE. Hili ni jambo la kupongezwa kwa kuwa litaboresha elimu.
"Never outshine your master"
Hilo ndio kosa alilolifanya Dr. Ave Maria.
Nchi inaongozwa kwa mizuka siyo sera na ilani.Ivi CCM huwa mnatumia nn kufikiria??
Jambo lipo kwa ILANI ya chama...kasema ktk wakati sahihi
Au vipi?????
Katengua ilaniKwenu Umoja wa walimu Tanzania, Mnafiki hajifiki, wenye akili tunajua mpaka Naibu katibu aliweka wazi maana yake Katibu, naibu waziri, waziri, waziri mkuu, Rais, na Chama cha Mapinduzi (CCM) wote wanajua.
KAMA KWELI MAGUFULI ANA MAPENZI NA WALIMU, MWAMBIENI AONDOE HIKI KIPENGELE AMBACHO KINATAMKA WAZI KUANZISHA STASHAHADA NGAZI YA MSINGI.
Maana yake ni kwamba, ualimu ngazi ya cheti INAFUTWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaji wa CCM ni ujinga na wajinga ndio waliwao.
WaTZ wavivu wa kusoma. Haya, wasaidieni hawa Walimu kwa kuwasambazia Hii kitu[emoji116]
View attachment 1591872