Uchaguzi 2020 Hii hapa Ilani ya CCM inayofuta mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti

Wamemtoa kafara... Mi nilijua wakutumbuliwa Ni waziri au katibu na sio naibu katibu...
Ndalichako angetumbuliwaje wakati hajaandika yeye ile barua? Sema Dr. Semakafu hakujiongeza. Angesubiri uchaguzi upte kwanza ndipo atoe tamko kama lile. Kwa sasa hali ilivyo tense lile tangazo halina afya kwa wanasiasa waomba kura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…