ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kuna mikoa inaoneww. Kwa mfano kiwanda Cha Ilovo kipo Moro ila faili lipo dar, the same kwa dhahabu zichimbwazo Geita na Shinyanga. Wote hao wanapelekwa large taxpayer. Lazima dar ionekane champion. Hata wafanyakazi wa mashirika makubwa return zao zinahesabiwa zipo dar. So hiyo statistics Ina scew kwa dar mno.Hii Ndio Mikoa ambayo inakusanya Kodi nyingi na kuiwezesha TRA kuvunja rekodi ya makusanyo Kila mwaka ambapo Kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ,Mikoa 13 yenye Mapato kuanzia Bilioni π― ndio imebainishwa hapa chini ππ
1.Dar =14.8T
2.743.45bln
3.Kilimanjaro =330.84bln
4.Tanga =325.55bln
5.Songwe=239.7bln
6.Mtwara=237.8bln
7.Mwanza =213.88bln
8.Dodoma =205.82bln
9.Kagera =199.5bln
10.Mara =195.38bln
11.Mbeya =131.22bln
12.Pwani =115.7bln
13.Morogoro =117.33bln
My Take
Baadhi ya Mapato mfano ya TANAPA na TAWA hayajajumuishwa Kwa sababu yamekusanywa kwenye hifadhi zote Tanzania hivyo rekodi za Kila hifadhi kwa Kila Mkoa haipo.
Aidha Mapato ya Arusha yemejumuishwa na Mapato ya mamlaka ya hifadhi Ngorongoro Kwa sababu Iko Arusha.
Mwisho orodha hii sio rasmi Bali ni Kwa Ajili ya discussion tuu ya hapa JF Kwa sababu haitoi picha halisi maana Walipaji Wakubwa wa Kodi hulipia Dar licha ya kwamba miamala imefanyika Nchi nzima mfano Banks,Migodi kama GGM ,Viwanda vya Bia ,Soda nk.
Ushauri.
TRA inaweza anzisha.madawati ya Walipaji Wakubwa wa Kodi huko huko mikoani badala ya Kila kitu kufanyika Dar.
Disclaimer: Huu ni uchambuzi binafsi kutoka kwenye takwimu za Kodi za 2024/25 na sio rasmi.
Ndio maana nikasema ni vyema TRA ikaanzisha madawati ya qalipakodi wakubwa huko huko mikoani.Kuna mikoa inaoneww. Kwa mfano kiwanda Cha Ilovo kipo Moro ila faili lipo dar, the same kwa dhahabu zichimbwazo Geita na Shinyanga. Wote hao wanapelekwa large taxpayer. Lazima dar ionekane champion. Hata wafanyakazi wa mashirika makubwa return zao zinahesabiwa zipo dar. So hiyo statistics Ina scew kwa dar mno.
Cc Mikdde naona awamu hii Mwanza imejitutumua kidogo mbele ya Dom lakini imepitiwa na Mtwara ππππHii Ndio Mikoa ambayo inakusanya Kodi nyingi na kuiwezesha TRA kuvunja rekodi ya makusanyo Kila mwaka ambapo Kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ,Mikoa 13 yenye Mapato kuanzia Bilioni π― ndio imebainishwa hapa chini ππ
1.Dar =14.8T
2.743.45bln
3.Kilimanjaro =330.84bln
4.Tanga =325.55bln
5.Songwe=239.7bln
6.Mtwara=237.8bln
7.Mwanza =213.88bln
8.Dodoma =205.82bln
9.Kagera =199.5bln
10.Mara =195.38bln
11.Mbeya =131.22bln
12.Pwani =115.7bln
13.Morogoro =117.33bln
My Take
Baadhi ya Mapato mfano ya TANAPA na TAWA hayajajumuishwa Kwa sababu yamekusanywa kwenye hifadhi zote Tanzania hivyo rekodi za Kila hifadhi kwa Kila Mkoa haipo.
Aidha Mapato ya Arusha yemejumuishwa na Mapato ya mamlaka ya hifadhi Ngorongoro Kwa sababu Iko Arusha.
Mwisho orodha hii sio rasmi Bali ni Kwa Ajili ya discussion tuu ya hapa JF Kwa sababu haitoi picha halisi maana Walipaji Wakubwa wa Kodi hulipia Dar licha ya kwamba miamala imefanyika Nchi nzima mfano Banks,Migodi kama GGM ,Viwanda vya Bia ,Soda nk.
Ushauri.
TRA inaweza anzisha.madawati ya Walipaji Wakubwa wa Kodi huko huko mikoani badala ya Kila kitu kufanyika Dar.
Disclaimer: Huu ni uchambuzi binafsi kutoka kwenye takwimu za Kodi za 2024/25 na sio rasmi.
We ngedere huo ujinga unakusaidia nini, hiyo Arusha yenyewe iko wapi, we ni mchaga Kilimanjaro ina mapato gani acha kujitengenezea upuuziHii Ndio Mikoa ambayo inakusanya Kodi nyingi na kuiwezesha TRA kuvunja rekodi ya makusanyo Kila mwaka ambapo Kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ,Mikoa 13 yenye Mapato kuanzia Bilioni π― ndio imebainishwa hapa chini ππ
1.Dar =14.8T
2.743.45bln
3.Kilimanjaro =330.84bln
4.Tanga =325.55bln
5.Songwe=239.7bln
6.Mtwara=237.8bln
7.Mwanza =213.88bln
8.Dodoma =205.82bln
9.Kagera =199.5bln
10.Mara =195.38bln
11.Mbeya =131.22bln
12.Pwani =115.7bln
13.Morogoro =117.33bln
My Take
Baadhi ya Mapato mfano ya TANAPA na TAWA hayajajumuishwa Kwa sababu yamekusanywa kwenye hifadhi zote Tanzania hivyo rekodi za Kila hifadhi kwa Kila Mkoa haipo.
Aidha Mapato ya Arusha yemejumuishwa na Mapato ya mamlaka ya hifadhi Ngorongoro Kwa sababu Iko Arusha.
Mwisho orodha hii sio rasmi Bali ni Kwa Ajili ya discussion tuu ya hapa JF Kwa sababu haitoi picha halisi maana Walipaji Wakubwa wa Kodi hulipia Dar licha ya kwamba miamala imefanyika Nchi nzima mfano Banks,Migodi kama GGM ,Viwanda vya Bia ,Soda nk.
Ushauri.
TRA inaweza anzisha.madawati ya Walipaji Wakubwa wa Kodi huko huko mikoani badala ya Kila kitu kufanyika Dar.
Disclaimer: Huu ni uchambuzi binafsi kutoka kwenye takwimu za Kodi za 2024/25 na sio rasmi.
Povu la nini kwenye Uzi ambao haukusaidii?We ngedere huo ujinga unakusaidia nini, hiyo Arusha yenyewe iko wapi, we ni mchaga Kilimanjaro ina mapato gani acha kujitengenezea upuuzi
Hiyo Mikoa Haina border posts Wala Bandari za maana ndio maana unaona haiko vizuri zaidi kwenye Mapato ya TRA.Kwasababu sio taarifa rasmi basi kwa ushauri usio rasmi MIKOA YA MWANZA,DODOMA NA MBEYA wajitafakari kwanini wanazidiwa na SONGWE? Halafu mtoa mada uletuletee majibu tena yasio rasmi.nihayo tu vinginevyo kutakuwa na upigaji usio rasmi.
Utaelewa baada a Mtwara kuipita Mwanza.Sijaelewa hata ulichochambua ...kwa hyo hayo mapato ndio indicator ya kitu gan
Boda ya TundumaKwasababu sio taarifa rasmi basi kwa ushauri usio rasmi MIKOA YA MWANZA,DODOMA NA MBEYA wajitafakari kwanini wanazidiwa na SONGWE? Halafu mtoa mada uletuletee majibu tena yasio rasmi.nihayo tu vinginevyo kutakuwa na upigaji usio rasmi.
Yaani tukae tunajadili kitu ambacho siyo rasmi cha kuokoteza okotezaKwasababu sio taarifa rasmi basi kwa ushauri usio rasmi MIKOA YA MWANZA,DODOMA NA MBEYA wajitafakari kwanini wanazidiwa na SONGWE? Halafu mtoa mada uletuletee majibu tena yasio rasmi.nihayo tu vinginevyo kutakuwa na upigaji usiasmi.
Namba 2. Sijui kwanini mleta mada hajaweka jina.Arusha na ujuaji wote kumbe malofa. Hawalipi kodi.... Pumbavu kabisa.
Ahaa... Nikajua labda wadudu hawalipi kodiNamba 2. Sijui kwanini mleta mada hajaweka jina.
Hizi ni takwimu za kujifurahisha tu, hazina maana kwasababu TZ siyo serikali za majimbo.Ndio maana nikasema ni vyema TRA ikaanzisha madawati ya qalipakodi wakubwa huko huko mikoani.
Takwimu za Kodi hazitoi picha halisi ya mchango wa Kila Mkoa sana sana inaendelea Dar.
Picha halisi ya mchango wa Mkoa kwenye Uchumi ni Kupitia GDP.
No 2 weka jina, ipo tupu.Hii Ndio Mikoa ambayo inakusanya Kodi nyingi na kuiwezesha TRA kuvunja rekodi ya makusanyo Kila mwaka ambapo Kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ,Mikoa 13 yenye Mapato kuanzia Bilioni π― ndio imebainishwa hapa chini.
ππ
1.Dar =14.8T
2.743.45bln
3.Kilimanjaro =330.84bln
4.Tanga =325.55bln
5.Songwe=239.7bln
6.Mtwara=237.8bln
7.Mwanza =213.88bln
8.Dodoma =205.82bln
9.Kagera =199.5bln
10.Mara =195.38bln
11.Mbeya =131.22bln
12.Pwani =115.7bln
13.Morogoro =117.33bln
My Take
Baadhi ya Mapato mfano ya TANAPA na TAWA hayajajumuishwa Kwa sababu yamekusanywa kwenye hifadhi zote Tanzania hivyo rekodi za Kila hifadhi kwa Kila Mkoa haipo.
Aidha Mapato ya Arusha yemejumuishwa na Mapato ya mamlaka ya hifadhi Ngorongoro Kwa sababu Iko Arusha.
Mwisho orodha hii sio rasmi Bali ni Kwa Ajili ya discussion tuu ya hapa JF Kwa sababu haitoi picha halisi maana Walipaji Wakubwa wa Kodi hulipia Dar licha ya kwamba miamala imefanyika Nchi nzima mfano Banks,Migodi kama GGM ,Viwanda vya Bia ,Soda nk.
Ushauri.
TRA inaweza anzisha.madawati ya Walipaji Wakubwa wa Kodi huko huko mikoani badala ya Kila kitu kufanyika Dar.
Disclaimer: Huu ni uchambuzi binafsi kutoka kwenye takwimu za Kodi za 2024/25 na sio rasmi.
Mleta mada atakuwa mtu wa Mwanza ameiacha Arusha kwa maksudi ila ni #2Arusha na ujuaji wote kumbe malofa. Hawalipi kodi.... Pumbavu kabisa.