Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,248
- 18,435
Arusha ni namba 2, huyo amesahau kuiandika, ameishia tu kuandika namba bila kutaja mkoa.Arusha na ujuaji wote kumbe malofa. Hawalipi kodi.... Pumbavu kabisa.
Arusha ni namba 2, huyo amesahau kuiandika, ameishia tu kuandika namba bila kutaja mkoa.Arusha na ujuaji wote kumbe malofa. Hawalipi kodi.... Pumbavu kabisa.
👍👍No 2 weka jina, ipo tupu.
No.2Arusha na ujuaji wote kumbe malofa. Hawalipi kodi.... Pumbavu kabisa.
Nimeweka hapo Excel za kutoka TRA .Yaani tukae tunajadili kitu ambacho siyo rasmi cha kuokoteza okoteza
hahahahahahaYaani tukae tunajadili kitu ambacho siyo rasmi cha kuokoteza okoteza
hahahahahahaYaani tukae tunajadili kitu ambacho siyo rasmi cha kuokoteza okoteza
kumbe..basi unapaswa kuwa jiji au unasemaje..kama hata Mwanza inazidiwa.Boda ya Tunduma
arusha, kilimanjaro, tanga, songwe, kagera, mara wana boda...Hii Ndio Mikoa ambayo inakusanya Kodi nyingi na kuiwezesha TRA kuvunja rekodi ya makusanyo Kila mwaka ambapo Kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ,Mikoa 13 yenye Mapato kuanzia Bilioni 💯 ndio imebainishwa hapa chini.
👇👇
1.Dar =14.8T
2.Arusha=743.45bln
3.Kilimanjaro =330.84bln
4.Tanga =325.55bln
5.Songwe=239.7bln
6.Mtwara=237.8bln
7.Mwanza =213.88bln
8.Dodoma =205.82bln
9.Kagera =199.5bln
10.Mara =195.38bln
11.Mbeya =131.22bln
12.Morogoro=117.33
13.Pwani =115.7bln
My Take
Baadhi ya Mapato mfano ya TANAPA na TAWA hayajajumuishwa Kwa sababu yamekusanywa kwenye hifadhi zote Tanzania hivyo rekodi za Kila hifadhi kwa Kila Mkoa haipo.
Aidha Mapato ya Arusha yemejumuishwa na Mapato ya mamlaka ya hifadhi Ngorongoro Kwa sababu Iko Arusha.
Mwisho orodha hii sio rasmi Bali ni Kwa Ajili ya discussion tuu ya hapa JF Kwa sababu haitoi picha halisi maana Walipaji Wakubwa wa Kodi hulipia Dar licha ya kwamba miamala imefanyika Nchi nzima mfano Banks,Migodi kama GGM ,Viwanda vya Bia ,Soda nk.
Ushauri.
TRA inaweza anzisha.madawati ya Walipaji Wakubwa wa Kodi huko huko mikoani badala ya Kila kitu kufanyika Dar.
Disclaimer: Huu ni uchambuzi binafsi kutoka kwenye takwimu za Kodi za 2024/25 na sio rasmi.
Leo ndio najua kwamba Kigoma **** boda kumbe.boda ya kigoma haiingizi mapato ya kutosha...
Utaratibu wa ukusanyaji hauko fair.hii ni ishara kwamba, ukiacha dar kodi nyingi za tra zinapatikana mipakani...
kilimanjaro, arusha, songwe, tanga zote ziko na boda...
Si tulishakubaliana Tanzania ni nchi moja hakuna kutoa takwimu za kudhalilishana?Ndio maana nikasema ni vyema TRA ikaanzisha madawati ya qalipakodi wakubwa huko huko mikoani.
Takwimu za Kodi hazitoi picha halisi ya mchango wa Kila Mkoa sana sana inaendelea Dar.
Picha halisi ya mchango wa Mkoa kwenye Uchumi ni Kupitia GDP.
Inasomeka mkoa wa songwe sio mbeya kama zamanBoda ya Tunduma
Si ndiyo nikawa nashangaa yaani Shinyanga hatumo pamoja na kuwa na migodi ya madini ya Bulyang'hulu, Buzwagi na Mwadui? Halafu Kagera ambayo inasemekana watu wake ni maskini mbona inategemewa na tra?Mwisho orodha hii sio rasmi Bali ni Kwa Ajili ya discussion tuu ya hapa JF Kwa sababu haitoi picha halisi maana Walipaji Wakubwa wa Kodi hulipia Dar licha ya kwamba miamala imefanyika Nchi nzima mfano Banks,Migodi kama GGM ,Viwanda vya Bia ,Soda nk.
Buzwagi ni mashimo tuu hakuna mgodi tena walisomba Madini mkaachiwa mashimo Hadi yameisha.Si ndiyo nikawa nashangaa yaani Shinyanga hatumo pamoja na kuwa na migodi ya madini ya Bulyang'hulu, Buzwagi na Mwadui? Halafu Kagera ambayo inasemekana watu wake ni maskini mbona inategemewa na tra?