Hii hapa ni picha kali ya Wiki hii ya Ustaadh Aboubakar Mbowe

Hii hapa ni picha kali ya Wiki hii ya Ustaadh Aboubakar Mbowe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ndio kama mnavyoona wenyewe , hapa Mwamba kama kawaida yake akiunga mkono Waumini wa dini ya Kiislam kwenye futari .

FB_IMG_1680691044460.jpg
 
Mwambie Sabaya yupo mjini , sa hv mwenyekiti yanagonga chupi yanarudi😁
 
Magufuli alishirikiana na Humphrey Polepole , Bashiru Ally ,Lazaro Mambosasa na Dr Wilson Mahera
Kwanini huyu asijiudhuru akaleta wake ambao msafi?

Au yule alikuwa ataki handshakes za kulambishana asali?
 
Hayo macho na mdomo! Ashauriwe kupunguza pombe kali.
 
Mlamba asali hana sera tena, kabakia kufuturu tu. Bora ale ashibe tu kwakweli maana ya Mungu mengi.
 
Wana JF pigania haki yako usitegemee upiganiwe kama unaona haki yako inaminywa tuache kulalama humu huku usiku ukijificha chini ya uvungu wa kitanda
 
Back
Top Bottom