Hii hapa ni picha kali ya Wiki hii ya Ustaadh Aboubakar Mbowe

Mwambie Sabaya yupo mjini , sa hv mwenyekiti yanagonga chupi yanarudi😁
 
Magufuli alishirikiana na Humphrey Polepole , Bashiru Ally ,Lazaro Mambosasa na Dr Wilson Mahera
Kwanini huyu asijiudhuru akaleta wake ambao msafi?

Au yule alikuwa ataki handshakes za kulambishana asali?
 
Hayo macho na mdomo! Ashauriwe kupunguza pombe kali.
 
Mlamba asali hana sera tena, kabakia kufuturu tu. Bora ale ashibe tu kwakweli maana ya Mungu mengi.
 
Wana JF pigania haki yako usitegemee upiganiwe kama unaona haki yako inaminywa tuache kulalama humu huku usiku ukijificha chini ya uvungu wa kitanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…