OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
View: https://youtu.be/UiIa2i29PZ4
R.I.P Father Nelly wa Xplastaz
Nimesikiliza hii nyimbo tangu nikiwa bwana mdogo mpaka leo nimekuwa broo!
Nafikiri tukubaliane sasa kwamba kwa Hip Hop hii ndio rap bora zaidi kwa karne hii kwa African Hip Hop. Hii ngoma ilizingatia vigezo vyote. Mistari inaeleweka, inafunza, inahoji na kufikirisha. Beat ni ya rap halisi. Video inaakisi kinachoimbwa.
Hata waliouza bandari wanaweza kusikilizishiwa hii ngoma.
Ni kigezo gani cha ubora kinapelea hapo? Sijaona