JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Nawakubali sana wale Cape Verde, nilichelewa kidogo kuwafuatilia hadi mechi na Misri. Wale jamaa wote ukiwabadilisha jezi ukasema hii ni Ufaransa au Uholanzi mtu anaweza amini.Chama langu cape verde tunabeba hii ndoo
Diarra ataweza kudaka mashuti ya Aziz Ki?Duh izo game zote ngumu aisee
Ivory coast hana bahati kabisaHiyo mechi ya Senegal na Ivory Coast inabidi ulinzi uimarishwe mara dufu
Mimi ile game yao ya kwanza mpira aliompigia ghana nikaona jamaa kuna kitu wanataka kufanya hii afconNawakubali sana wale Cape Verde, nilichelewa kidogo kuwafuatilia hadi mechi na Misri. Wale jamaa wote ukiwabadilisha jezi ukasema hii ni Ufaransa au Uholanzi mtu anaweza amini.
Wale wakija kukutana na timu kama Senegal au Morocco katika fainali utapigwa mpira mwingi saana.Mimi ile game yao ya kwanza mpira aliompigia ghana nikaona jamaa kuna kitu wanataka kufanya hii afcon
Baada ya Tanzania kushika nafasi ya mwisho katika Kundi F na kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataofa ya Afrika (AFCON2023), ratiba ya Hatua ya 16 imejulikana.
Timu ambazo zimeingia hatua hiyo kupitia nafasi ya Mshindi wa Tatu Bora ni Guinea, Namibia, Mauritania na wenyeji Ivory Coast.
Januari 27, 2024
Angola vs Namibia
Nigeria vs Cameroon
Januari 28, 2024
Equatorial Guinea vs Guinea
Misri vs DR Congo
Januari 29, 2024
Cape Verde vs Mauritania
Senegal vs Ivory Coast
Januari 30, 2024
Mali vs Burkina Faso
Morocco vs Afrika Kusini
Mama Kizimkazi lakini alijitahidi nae, aliongea nao kwa simu kabla ya kick off.View attachment 2882080
Rais Tsishekedi yuko na timu ya Kongo kabla hawajaingia uwanjani na kaingia kwenye vyumba vya kibadilishia nguo pale uwanjani.Sisi yuko Mwijaku na baba Levo😅😅
SanaHiyo mechi ya Senegal na Ivory Coast inabidi ulinzi uimarishwe mara dufu
Wana damu ya Cape Verde hilo ndiyo la muhimu. Sisi Diaspora wetu wanatuletea kina......wachezaji ambao viwango vyao havina tofauti na wale unaoweza kuwakuta huko Mpwapwa ndani ndaniCape Verde sio waafrika wale kama Kina Cuadrado majina Yao tu yanaikana Afrika....Hakuna mwenye Jina la kibantu.
Uliona game Yao na algeria? Hawa jamaa nilichek dakika 90 vs algeria nao Wana fighting spirit hatariMauritania kayakanyaga