Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye huo uchaguzi tunakaa eneo la tukio kuanzia saa 2 asubuh mpk saa 1 usiku??Kwenye uchaguzi Wa ubunge,udiwani,urais huwa mnakula chakula?
Watu huwa tunakaa masaa sita hadi saba tunasugulishwa tu mistarini na hatujawahi kunywa hata chaiKwenye huo uchaguzi tunakaa eneo la tukio kuanzia saa 2 asubuh mpk saa 1 usiku??
Chakula watakula makwao..ndala tunashida ya pesa kila mtanzania anajua!
[emoji23][emoji23]Kwenye uchaguzi Wa ubunge,udiwani,urais huwa mnakula chakula?
Nauza yanga mbovu na dola chakavu.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ratiba ya uchaguzi wa Yanga imetoka katika hali isiyokuwa ya kawaida hamna ratiba ya chakulaView attachment 1088458
[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]VYURAAA VYURAAAAAA VYURAAAAA TASAF FC
KamweneeeMsolaaaa
Uchaguzi wenu huwa mnafuata makombo ya Mo?Ratiba ya uchaguzi wa Yanga imetoka katika hali isiyokuwa ya kawaida hamna ratiba ya chakulaView attachment 1088458
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chakula watakula makwao..ndala tunashida ya pesa kila mtanzania anajua!