LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Kwa sababu umempa nguvu zako.
Because you have given her your own power.
How? By loving her too much.
When you love someone too much you give her all of your energy.
So she becomes you.
How? Kiwango cha juu kabisa cha upendo alicho nacho mwanadamu ni upendo kwake yeye mwenyewe." Self love"
Hata Yesu ali waambia wanafunzi wake " Mpende jirani yako kama unavyo ipenda nafsi yako mwenyewe".
( Mpende mwenzako vile unajipenda peke yako)
Unavyo mpenda mwanamke kupita kiasi tafsiri yake ni kwamba unakuwa umempa nafsi yako mwenyewe.
Ule upendo ambao ulipaswa kujipenda wewe mwenyewe sasa unauelekeza kwake.
Unampa vitu ambavyo hata wewe mwenyewe huwezi kujipa.. Kwa sababu yeye ndo amekuwa muhimu kwenye nafsi yako kuliko wewe.
Ukisha fikia hatua hiyo maana yake ni kwamba nafsi yako inakuwa kwake.
So ule upendo unaompa yeye actually ni upendo unaoipa nafsi yako ambayo sasa inaishi kwake.
Ikifikia hatua hii maana yake ni kwamba she has your real power because your real power is in your own self and your own self is now owned by her...
Ndio maana umeshindwa kumsahau. And the worse thing about it is that when you reach this situation she deeply feels it in her inner self. She feels kwamba nafsi yako inaishi ndani yake and there is nothing you can do about it .
Tufanye nini sasa eeh Rabbi? 👇👇
Withdraw your self from her. This is the best solution.
Mtoe kwenye nafsi yako.
Anza kujipenda mwenyewe. Hakikisha wewe ndio unakuwa kilaumbele namba moja kwenye nafsi yako.
Ukimtoa kwenye moyo wako, automatically nafsi yako itarudi kwako.
Utamsahau and u will careless about her.
When this happens she will start to feel it in her.
She will try to comeback to you cause she feels the lacuna.
But never take her back in your life again.
Love your self.
The most best way of attracting love from other people is to first love yourself.
Kama unavaa vizuri unakula vizuri unanukia vizuri unafurahia maisha yako, beautiful women will automatically come to you.
1. Love yourself
2. Love yourself.
3.Love yourself.
When you give too much love to other people you give your own power to them but when you love yourself you retain your power to yourself but also you command other people to surrender their power to you.