Hii hapa top four ya NBC premier league msimu wa 2021/2022

Hii hapa top four ya NBC premier league msimu wa 2021/2022

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Bila kupepesa macho hii ndio yop four ya nbc premier league ikatavyo kuwa.

Simba

Azam

Singida

Geita
 
Bila kupepesa macho hii ndio yop four ya nbc premier league ikatavyo kuwa.

Simba

Azam

Singida

Geita
ikatavyo kuwa❌
itakavyokuwa✅


yop = top

Mashabiki wengine mkiitwa mbumbumbu fc msilalamike

Msimu wa 2021/2022 umeshapita nashangaa unataja top four kwa msimu ulioisha? halafu hiyo Singida haikuwepo kwenye PREMIER LEAGUE 2021/2022

Tunaingia msimu wa 2022/2023 we bado uko usingizini, vijana punguzeni kutumia bangi za mchongo
 
Kwa maoni yangu Ghazwat Gongowazi kukosekana kwenye Top Four haiwezekani kamwe msimu huu wa 2022/23..!

Simba SC
Yanga SC
Azam FC
Singida Big Stars.
 
Klabu kubwa Afrika Mashariki na Kati.
IMG-20220805-WA0005.jpg
IMG-20220805-WA0004.jpg
 
Yanga SC
Singida Big Stars FC
Azam FC
Simba
Ihefu
 
Back
Top Bottom