Hii hapa tovuti ya watu waliotekwa au kutoweka katika mazingira tatanishi

Wazo zuri, swali dogo...hivi tofauti kati ya mtu 'aliyetoweka' na 'hapatikani' ni ipi mkuu?.
Nafikiri angechagua neno moja hususani ametoweka ili isichanganye watu.
 
Wazo ni zuri lakini nashauri report hii iwe na records za nyuma pia.
Kuna watu waliuawa wakiwa mikononi mwa Polisi na miili yao haikuwahi kuonekana tangu mwaka 1993 mwezi May licha ya kuwepo Central Police Dar es salamu na Hospitali ya Muhimbili wakiwa na majeraha makubwa.
Ripoti hii iboreshwe ili ijumuishe maovu yanayofanywa na Serikali kwa awamu zote za uhai wa Jamuhuri.
 
Uko sahihi mkuu, lakini nadhani mwanzilishi yeye ka focus kwenye utawala wa Sa100 maana mambo hayo yamekithiri sana
 
Uko sahihi mkuu, lakini nadhani mwanzilishi yeye ka focus kwenye utawala wa Sa100 maana mambo hayo yamekithiri sana
System nzima inatakiwa kufumuliwa na kuonyesha madhambi yake na ikibidi watu washitakiwe!. Huu utawala wa Samia uwe ndio mahali pa kuanzia kupata ukombozi kamili wa Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…