Yaani unatafuta kitu muda mrefu mpk unatamani kulia..
Unakuta hicho kitu kwa muda huo ndo cha umuhimu alafu ukioni
Kuna muda unatafuta weee kumbe unacho mkononi umekishka au mfukoni n.k
Me nilishawai kutafuta Cheti changu cha form four kwa muda huo kilkua kina itajika Veta nilitafuta ka lisaa hvi naulza madogo wanasema hawajui kuja kuchek kumbe ni nacho mkononi.Niltamani nikichane