Hii hari ilishakukuta na wewe?....

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Yaani unatafuta kitu muda mrefu mpk unatamani kulia..

Unakuta hicho kitu kwa muda huo ndo cha umuhimu alafu ukioni

Kuna muda unatafuta weee kumbe unacho mkononi umekishka au mfukoni n.k

Me nilishawai kutafuta Cheti changu cha form four kwa muda huo kilkua kina itajika Veta nilitafuta ka lisaa hvi naulza madogo wanasema hawajui kuja kuchek kumbe ni nacho mkononi.Niltamani nikichane

Je wewe pia ulishakutana na kadhia hii....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nawewe huo mwandiko mmmm ....
[emoji3][emoji3][emoji3]Mimi nikiwa natafuta kitu halafu sikioni naanza kumgombeza shetani [emoji57][emoji57]
Mwisho wasiku nakiona peupee... Na nikikiona nampa onyo "wewe shetani ole wako urudie tena kuficha vitu vyangu pumbavu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…