Hii hatari sasa, ukuaji wa uchumi wa Tz tulizoea 7%, IMF wanashusha hadi 4%

Pimbaf
If you don't know what's land policy. You better shut up.
Can you show here the Kenyan land policy?
can I assume you have chosen 'land policy' so that I can begin the massacre??
 
Pimbaf.
I told you to put here the Kenyan land policy.
You must be mistaken! look for ur b*tch in tandale to order around. Mtu anayesema 'agrarian practice' hana uwezo wa kuelewa chochote.
 
Kuweka ukenya na utanzania pembeni naomba nieleweshwe,MK254 Geza Ulole, Kafrican Depay joto ya jiwe

Assuming imf wako sahihi

Pamoja na matatizo yoote ya magufuli, kuporomoka kutoka 6 mpk 4 lazima kuna kitu serious kiwe kinaendelea, sasa ni kitu gani maana yoote anayoyafanya sasa amekuwa akiyafanya toka miaka 2 nyuma, why this sudden change? Na hapa kumbuka kuna vitu vya maendeleo anafanya na tunaona

Pia, assuming kuwa zile data za nyuma za kukua kwa 7% zilikuwa sahihi, kwann gape kati ya tz na Kenya inazidi kuongezeka? Kama data zilikuwa zinapikwa basi zimekaangwa vizuri katika utawala wa JPM kuliko wa JK, but hatukuwa na sudden change kwenye ukuaji, ilikaa 7.
 

Mimi siku zote nilikua nashangaa mnakua kwa 7% lakini tunazidi kuwashinda na tofauti inaongezeka, nikajua kuna kasoro kwa jinsi mnaripoti data zenu.
Halafu awamu ya sasa imekita kwenye kubana matumizi hadi sekta zilizokua zinafanya biashara na serikali zimeishia kuambulia patupu.
Hela yote mumerudisha BoT, mumeingilia wafanya biashara kwenye shughuli zao hadi wengi wanajutia.
Kingine, hadi sasa sijaona kitu gani awamu ya sasa imezindua kikakamilika.
 
Valid reason for economic slow down ni Gods wrath uhuni wa ccm kwa
wang'wana wa Zanzibar. Na bado brace for a complete economic melt down.
 
MK254, nadhani unakumbuka nikiimba humu jinsi siamini ukuaji wa uchumi wa Tanzania maanake kwa miaka karibu ishirini tunaambiwa ni zaidi ya 7% yet gap ya GDP kati yao na sisi imeongezeka kutoka $2 billion hapo 2004-05 hadi $38 billion sasa hivi. Hawa majamaa kila mara ukiwasikia humu wakilia eti tunapika data jua wao ndio wapishi nomba moja. Wanavyokua wakali na data zao utajua tu hapa kuna jambo.
 
But everyday we keeping seeing this things
Jana kazindua more than 200 kilometres leo ni foundation ya more than 100 kilometres, to hell with their 4 bullshit


Shida yenu kwa uzinduzi hamjambo. When you launch the same project 20 times before construction begins it makes you look like you are really progressing.
 
The main problem is devaluation of the TShs vs the USD. GDP is measured in USD. Weakening of the TShs undermines gains made in GDP. Why your shilling is weakening? Not sure, could be the cashews that u refused to sell and opted to hold.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…