Hii hatari sasa, ukuaji wa uchumi wa Tz tulizoea 7%, IMF wanashusha hadi 4%

Hivi kule kwa majirani zetu kusini kuna nini jameni maana hii sio kawaida tena, utani pembeni, ukuaji wao kiuchumi tulizoea 7.2% na tulijua hata kama hawataifikia Kenya, ila kwa miaka ijayo na kwa ukuaji huo hawatakua wanachezea mbali baada ya kama miaka 30 ijayo, lakini naona IMF imetoa makadirio ya kutisha kwamba wanategemea ukuaji wa Tz kushuka hadi asilimia 4 kwenye mwaka huu na ujao.
--------------------------------

DAR ES SALAAM, April 10 (Reuters) - The International Monetary Fund lowered its forecast for Tanzania’s economic growth this year and in 2020 to around 4 percent from a previous forecast.

In its World Economic Outlook, released on Tuesday, the Fund also predicted the East African nation’s consumer price inflation will reach 3.5 percent this year and edge up to 4.5 percent in 2020.

Tanzania’s economy will expand at 4 percent this year then accelerate slightly to 4.2 percent next year, from an estimated 6.6 percent in 2018, the Fund said in its forecasts.

In January last year, the IMF said it expected Tanzania’s economy to grow at 6–7 percent over the medium term if the country hiked capital spending and improved its business environment.
Tanzania relies heavily on mining, tourism and telecommunications for state revenues and foreign exchange earnings.
The government forecasts the economy will grow 7.3 percent in 2019 after an estimated 7.2 percent expansion last year, helped by public infrastructure investments. (Reporting by Fumbuka Ng’wanakilala; Editing by Elias Biryabarema and George Obulutsa, Catherine Evans)

https://af.reuters.com/article/tanzaniaNews/idAFL8N21R5QE
Mbona tunafanana almost na nyie pai

Kenya Economic Projection in 2019 by IMF
  • 2019 Projected Real GDP (% Change) : 5.8
  • 2019 Projected Consumer Prices (% Change): 4.4
  • Country Population: 49.364 million
  • Date of Membership: February 3, 1964
  • Article IV/Country Report: October 23, 2018
  • Outstanding Purchases and Loans (SDR): 361.23 million (March 31, 2019)
  • Special Drawing Rights (SDR): 59.72 million
  • Quota (SDR): 542.8 million
  • Number of Arrangements since membership: 19

Tanzania Economic Projection in 2019 by IMF
  • 2019 Projected Real GDP (% Change) : 4.0
  • 2019 Projected Consumer Prices (% Change): 3.5
  • Country Population: 52.067 million
  • Date of Membership: September 10, 1962
  • Article IV/Country Report: July 27, 2016
  • Outstanding Purchases and Loans (SDR): 62.99 million (March 31, 2019)
  • Special Drawing Rights (SDR): 10.62 million
  • Quota (SDR): 397.8 million
  • Number of Arrangements since membership: 10

Source:https://www.imf.org/en/Countries/KEN
 
Hivi kule kwa majirani zetu kusini kuna nini jameni maana hii sio kawaida tena, utani pembeni, ukuaji wao kiuchumi tulizoea 7.2% na tulijua hata kama hawataifikia Kenya, ila kwa miaka ijayo na kwa ukuaji huo hawatakua wanachezea mbali baada ya kama miaka 30 ijayo, lakini naona IMF imetoa makadirio ya kutisha kwamba wanategemea ukuaji wa Tz kushuka hadi asilimia 4 kwenye mwaka huu na ujao.
--------------------------------

DAR ES SALAAM, April 10 (Reuters) - The International Monetary Fund lowered its forecast for Tanzania’s economic growth this year and in 2020 to around 4 percent from a previous forecast.

In its World Economic Outlook, released on Tuesday, the Fund also predicted the East African nation’s consumer price inflation will reach 3.5 percent this year and edge up to 4.5 percent in 2020.

Tanzania’s economy will expand at 4 percent this year then accelerate slightly to 4.2 percent next year, from an estimated 6.6 percent in 2018, the Fund said in its forecasts.

In January last year, the IMF said it expected Tanzania’s economy to grow at 6–7 percent over the medium term if the country hiked capital spending and improved its business environment.
Tanzania relies heavily on mining, tourism and telecommunications for state revenues and foreign exchange earnings.
The government forecasts the economy will grow 7.3 percent in 2019 after an estimated 7.2 percent expansion last year, helped by public infrastructure investments. (Reporting by Fumbuka Ng’wanakilala; Editing by Elias Biryabarema and George Obulutsa, Catherine Evans)

https://af.reuters.com/article/tanzaniaNews/idAFL8N21R5QE
Umetumwa na taasisi gan kuichafua Tanzania au nchi yako inamkono katika hili la kuanzisha propaganda mitandaoni kuichafua Tanzania posti zako nyingi Lazima uiongelee vibaya Tanzania mnaihofia nn Tanzania hamjiamin na nchi yenu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom