Hii hatari sasa

Hii hatari sasa

micky massawe

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
29
Reaction score
4
Namaliza mwaka mzima mitaa sasa bila ajira kutoka..cjui kama nakumbuka tena kufundisha...hii Ndo Tanzania yetu...
 
Tanzania Tanzania, Nakupenda kwa moyo wote, Nchi yangu Tanzania,Jina lako ni tamu sana. Nilalapo nakuota wewe
 
Umeonaee ...Ndo hvyo napambana kitaa hata kama watatoa ajira zao mwakani poa tu
 
Usijali! kesho utakua na furaha sana, amini ninachokuambia mwalimu mwenzangu, AJIRA TAR 26 FEB.
 
Embu ngoja tuone ndugu zangu labla ikawa kweli sasa....maana daah ni noma sanaaana..hv hawa ndugu zetu waliobaki vyuoni ambao wanahitimu mwaka huu hatakua na imani gani?? Wajipange saaana maana mwakani mambo kibao
 
Kujiajiri muhimu saaana ...hv ni dharau au ni nn?? Mbona vitengo vingine wametangaza ajira?? Ni nn hcho wanachokipanga tokea mwez wa tano mwaka Jana hakijakamilika??? Binafsi Mm nlikua navumilia tu nikijua ni February lakini nimezinduka kuona February inapita....BC huku kitaa wanaambiana huenda nilifeli..
 
haha! Mkuu wanazani ulidisco? Pole kuna watu hawaelewi haya mambo eti!!
 
Ndo hapo sasa sema wazazi wangu wanaelewa...sema wapembe mtaani Ndo wanachonga...mbaya zaidi nimesoma Chuo cha private hapa dar cha ada kubwa saaana ambayo hyo kaz mshahara wake kuirudisha co leo
 
Back
Top Bottom