Huu ugonjwa wa home ya nyani ni kama vile unakuja na vibe la Corona, taarifa za kusambaa wagonjwa zinaongezeka kidogo kidogo kila siku, mamlaka zote duniani inabidi zichukue hatua za haraka na kwa ushirikiano tusije kuingia kwenye mambo ya lockdowns tena.