Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huu ugonjwa wa home ya nyani ni kama vile unakuja na vibe la Corona, taarifa za kusambaa wagonjwa zinaongezeka kidogo kidogo kila siku, mamlaka zote duniani inabidi zichukue hatua za haraka na kwa ushirikiano tusije kuingia kwenye mambo ya lockdowns tena.
Soma Pia: Homa ya nyani (Monkeypox) yaibuka tena Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo. Watoto wadaiwa kuathirika zaidi
Wapinga chanjo(Anti-vaxxers) jiandaeni pia kwa conspiracies na propaganda.
Soma Pia: Homa ya nyani (Monkeypox) yaibuka tena Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo. Watoto wadaiwa kuathirika zaidi
Wapinga chanjo(Anti-vaxxers) jiandaeni pia kwa conspiracies na propaganda.