Hii Horoya imeingiaje Makundi ya Cafcl ? Mbona ni timu hovyo sana

Hawa ni mabingwa mara 8 mfululizo wa Guinea na kwa hapa Africa Guinea nawaweka level moja na Senegal, Ghana na Cameroon kwenye viwango.

Game ya leo kila mmoja alikuwa anamuogopa mwenzake kwa hiyo wakawa wanacheza kwa tahadhari, hii ni ligi ya wanaume miamba wa Africa.
Acheni visingizio nyie, mpira unachezwa hadharani na wote tumeuona, yaani iyo tahadhari ndio inapelekea hata kupiga pasi mbili washindwe? kusema ukweli Simba Leo imefungwa na timu mbovu sana sijawahi kuona.
 
Kacheze wewe Sasa
 
Hawa wangekutana na raja[emoji848][emoji848][emoji848] wangelambishwa dazan.. Leo Zimekutana timu zote mbovu, ila maajabu Ile mbovu zaidi ndio imepata ushindi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acheni visingizio nyie, mpira unachezwa hadharani na wote tumeuona, yaani iyo tahadhari ndio inapelekea hata kupiga pasi mbili washindwe? kusema ukweli Simba Leo imefungwa na timu mbovu sana sijawahi kuona.
Sawaa. Muulize mwenzio redio akwambie kuhusu hiyo Horoya
 
Hawa wapinzani wa Simba kutokea nchini Guinea Horoya Athletic club ni wabovu sana aisee, Hawawezi hata kupasiana pasi tatu, hawawezi hata kufungua vyumba, wazito hakuna mfano, Yaani utafikiri ni timu ya daraja la nne.

Simba akishindwa kuchukua point 6 Kwa Hawa vibonde itabidi wajilaumu wenyewe
Wale jamaa leo walikuwa na bahati. Ila mipira hii ya juu jamaa wapo vizuri, sema upande mwengine wapo hovyo.
 
Hawa wapinzani wa Simba kutokea nchini Guinea Horoya Athletic club ni wabovu sana aisee, Hawawezi hata kupasiana pasi tatu, hawawezi hata kufungua vyumba, wazito hakuna mfano, Yaani utafikiri ni timu ya daraja la nne.

Simba akishindwa kuchukua point 6 Kwa Hawa vibonde itabidi wajilaumu wenyewe
kwakweli ni bahati tu simba iliwazidi kila kitu
 
Back
Top Bottom