Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Umenena vyema mkuu... Hii ni disrespect kwa bibi yakeTaka taka..mtu ambaye ana bibi na watoto anafaa kujiheshimu na kuhwshimu familia yake..Salamu za kawaida zimetosha, hayo mengine kamfanyie bibi yako
Ilimchukua 7 yrs mpaka kuajiriwa CNN.. Ameacha KAZI Na ana kampuni zake! Ni mrembo haswa!Huyo dada ni mkenya jmni, wenzetu wako mbali sana
Hapo kwa kufumba macho sasa ndio itabidi awe mdogo kama piriton kwa Maggie, alafu na awe creative kupindukia. Ili ajinasue lazima ataibuka na za cologne hivi, labda ilikuwa strong sana puani ikabidi afumbe macho ili chozi lisidondoke. Hehe! 😀Duh! Hapo Uhuru kajiachia nje nje, yaani full mkumbatio huku amefumba macho kwa raha.....ajiandae kwa maelezo kamili kwa mkewe maana patamu hapo.
Alisema nani? Kila mtu ana uhuru wa kufanya maamuzi yake bana.Taka taka..mtu ambaye ana bibi na watoto anafaa kujiheshimu na kuhwshimu familia yake..Salamu za kawaida zimetosha, hayo mengine kamfanyie bibi yako
Then the Patels part away with finances for some Arror and Kimwarer dams!
Hahaha am not surprised to see this comment.Taka taka..mtu ambaye ana bibi na watoto anafaa kujiheshimu na kuhwshimu familia yake..Salamu za kawaida zimetosha, hayo mengine kamfanyie bibi yako
Zain na Uhuru hawajafahamiana CNN.Hii ndio 'hug' ambayo imesisimua mitandao ya kijamii Kenya. Rais Uhuru Kenyatta na Zain Verjee, ambaye alikuwa 'news anchor' wa CNN walipatana kwenye kongamano la 4th United Nations Enviromental Assembly hivi majuzi pale makao makuu ya UNEP Gigiri, Nairobi. Baada ya kukumbatiana ile ya kweli kabisa waliongea kwa muda huku wakicheka cheka na viongozi wengine akiwepo RAO wakibaki tu kuwa wapenzi watazamaji. Kumbe Rais Uhuru Kenyatta naye ni member mwenzetu wa #TeamMafisi? [emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna mshkaji hapo nyuma ameshafika 4G katoa Jicho balaaaHii ndio 'hug' ambayo imesisimua mitandao ya kijamii Kenya. Rais Uhuru Kenyatta na Zain Verjee, ambaye alikuwa 'news anchor' wa CNN walipatana kwenye kongamano la 4th United Nations Enviromental Assembly hivi majuzi pale makao makuu ya UNEP Gigiri, Nairobi. Baada ya kukumbatiana ile ya kweli kabisa waliongea kwa muda huku wakicheka cheka na viongozi wengine akiwepo RAO wakibaki tu kuwa wapenzi watazamaji. Kumbe Rais Uhuru Kenyatta naye ni member mwenzetu wa #TeamMafisi? [emoji1][emoji1][emoji1]
Shukran sana madam. Ila sidhani kama kuna mkenya ambaye hajui kwamba Zain Verjee ni mkenya.Zain na Uhuru hawajafahamiana CNN.
Zain Verjee is journalist who was born and raised in Kenya. Zain is one of the world’s most respected and recognized journalists, with an action-packed background and experience as a storyteller, entrepreneur, communicator, and interviewer. Wikipedia
Born: February 11, 1974 (age 45 years), Nairobi, Kenya
Nationality: Canadian, Kenyan
Hahahaha huyo m baluhya next to handsome raila odinga
Hahaha! 😀 Una mambo Jane, ilikuwa ni Shekedishekedi sasa leo ni Raila.Hahahaha huyo m baluhya next to handsome raila odinga
Hahaha hakuna aliyesema wamekutana CNN mkuu!Zain na Uhuru hawajafahamiana CNN.
Zain Verjee is journalist who was born and raised in Kenya. Zain is one of the world’s most respected and recognized journalists, with an action-packed background and experience as a storyteller, entrepreneur, communicator, and interviewer. Wikipedia
Born: February 11, 1974 (age 45 years), Nairobi, Kenya
Nationality: Canadian, Kenyan
Wachache sana wanaoelewa hilo. Wakenya ni mapoyoyo kweli kweli usione tai zile na makoti ya mtumba ukadhani ni waelewa.Shukran sana madam. Ila sidhani kama kuna mkenya ambaye hajui Zain Verjee ni mkenya.