Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Umenena vyema mkuu... Hii ni disrespect kwa bibi yakeTaka taka..mtu ambaye ana bibi na watoto anafaa kujiheshimu na kuhwshimu familia yake..Salamu za kawaida zimetosha, hayo mengine kamfanyie bibi yako