Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]comment yako niikute PM
(usilete ujinga wa kumuita zeshchriss)
Kumbe ndo maana eehme naanzaga kuomba radhi yaani hata kama sijawahi kukukosea. nitalalama hadi useme umenisamahe
halafu nakuwa romantic sana yaani nakuwa na mahaba balaa. unaweza tamani kila siku nilewe.Kumbe ndo maana eeh
[emoji3] [emoji3] ,pole inabidi uwe unakunywa Mara chache like one or twice per year mbona utakonda sasa kama unaamka unaumwa tena[emoji30]Wanaoniona nikiwa nimelewa ndio huwa wananicheka,mana nakuwaga full comedy [emoji28][emoji28]
Ila mie lazima niamke mgonjwa....headache kaliii mixer kichefuchefu
[emoji3] [emoji3] ,pole inabidi uwe unakunywa Mara chache like one or twice per year mbona utakonda sasa kama unaamka unaumwa tena[emoji30]
Hahahhah unadhani ni mnywaji basi?mara ya mwisho kunywa ilikuwa mwaka jana mwezi wa tatu nafikiri...ni vile sometimes inatokea nataka nilie kwa uhuru zaidi ndio nakunywa [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini ndio hizo mara chache nikinywa naumwa
Sawa Mkuuhalafu nakuwa romantic sana yaani nakuwa na mahaba balaa. unaweza tamani kila siku nilewe.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] , ukitaka kulia unajinywea mwenyewe hahaa, kama nakuona unavopiga yoweeHahahhah unadhani ni mnywaji basi?mara ya mwisho kunywa ilikuwa mwaka jana mwezi wa tatu nafikiri...ni vile sometimes inatokea nataka nilie kwa uhuru zaidi ndio nakunywa [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini ndio hizo mara chache nikinywa naumwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] , ukitaka kulia unajinywea mwenyewe hahaa, kama nakuona unavopiga yowee
View attachment 1198593
Pia kummiss mpenzi mpaka kulia na kukumbuka marehemu woteeee [emoji125][emoji3601][emoji125][emoji3601][emoji125][emoji3601][emoji125][emoji3601]
Hahaaa yaani unataka ubembelezwe tena,mnywaji anadeka huyuuu, shemeji yangu ajipange kwakweli.Yaani acha tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena nikiwa nakunywa awepo mtu anayeniangalia ili badae nikianza kulia anibembeleze
😅😅😅Hahaaa yaani unataka ubembelezwe tena,mnywaji anadeka huyuuu, shemeji yangu ajipange kwakweli.
Hmm 🚶🚶halafu nakuwa romantic sana yaani nakuwa na mahaba balaa. unaweza tamani kila siku nilewe.
View attachment 1198593
Pia kummiss mpenzi mpaka kulia na kukumbuka marehemu woteeee [emoji125][emoji3601][emoji125][emoji3601][emoji125][emoji3601][emoji125][emoji3601]