Hii hunitokea mimi au hata na nyie wana chit chat

Wanaoniona nikiwa nimelewa ndio huwa wananicheka,mana nakuwaga full comedy [emoji28][emoji28]
Ila mie lazima niamke mgonjwa....headache kaliii mixer kichefuchefu
[emoji3] [emoji3] ,pole inabidi uwe unakunywa Mara chache like one or twice per year mbona utakonda sasa kama unaamka unaumwa tena[emoji30]
 
[emoji3] [emoji3] ,pole inabidi uwe unakunywa Mara chache like one or twice per year mbona utakonda sasa kama unaamka unaumwa tena[emoji30]

Hahahhah unadhani ni mnywaji basi?mara ya mwisho kunywa ilikuwa mwaka jana mwezi wa tatu nafikiri...ni vile sometimes inatokea nataka nilie kwa uhuru zaidi ndio nakunywa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lakini ndio hizo mara chache nikinywa naumwa
 
Hahahhah unadhani ni mnywaji basi?mara ya mwisho kunywa ilikuwa mwaka jana mwezi wa tatu nafikiri...ni vile sometimes inatokea nataka nilie kwa uhuru zaidi ndio nakunywa [emoji23][emoji23][emoji23]

Lakini ndio hizo mara chache nikinywa naumwa

Ahahahahah joanah una vitukoo
 
Hahahhah unadhani ni mnywaji basi?mara ya mwisho kunywa ilikuwa mwaka jana mwezi wa tatu nafikiri...ni vile sometimes inatokea nataka nilie kwa uhuru zaidi ndio nakunywa [emoji23][emoji23][emoji23]

Lakini ndio hizo mara chache nikinywa naumwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] , ukitaka kulia unajinywea mwenyewe hahaa, kama nakuona unavopiga yowee
 
Yaani acha tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena nikiwa nakunywa awepo mtu anayeniangalia ili badae nikianza kulia anibembeleze
Hahaaa yaani unataka ubembelezwe tena,mnywaji anadeka huyuuu, shemeji yangu ajipange kwakweli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…