GoLC
JF-Expert Member
- Jul 10, 2025
- 268
- 466
Ukweli ni kwamba social media kwa sasa ukifungua, content nyingi ni video clips. Nyingi zao pia ni za comedy. Nazungumzia kitanzania. Zile za DIY kwa sisi bado.
Sasa hapa kwenye bongo content kiukweli ndio shida. Hata sisi age go tunapenda kucheki content hasa kwa lengo la kuondoa stress. Nyingi pia zinafundusha, hasa masuala ya kimahusiano pia. Sasa tatizo linaanzia hapa.
Kuna yale voice over. Kiukweli hakuna kitu kinanichefua kama hayo. Naweka mifano hapa:
1. JESUS!!!
2. HAKUNA!!!
4. APALAKWEEE!!!
5. ETC
Halafu wanasindikizia na vicheko utadhani maruhani yana sherehe. Wakati mwingine wala hakuna haja ya kuweka hizo takataka. Kwani content yako haitoshi kutuchekesha hadi utulazimishe na kifungashio?
Naomba ujumbe huu uwafikie. Kama wewe ni content creator achana na hayo makelele. Ujumbe wako utoshe kutuvuta.
Tunaonekana hatuna staha kwa kuangalia huo ujinga. Wakati mwingine unakuta content ni nzuri na unaenda nayo wee halafu ghafla vinakuja vile vicheko kama maruhani. Wala havikuwa na sababu. Badala ya kufurahia unajikuta unajisikia aibu.
Mnatufanya tukiona content zenu tuondoe sauti, kitu ambacho sio sahihi.
Jamiiforum kama hamtajali naomba ujumbe huu muusambaze kwenye vyanzo vyenu vingine ujumbe ufike. Wenye akili wataelewa.