Inatakiwa ujue hakuna kitu kwaajili ya kila mtu. Kama unakelekwa maanake it was not meant for you.Ukweli ni kwamba social media kwa sasa ukifungua, content nyingi ni video clips. Nyingi zao pia ni za comedy. Nazungumzia kitanzania. Zile za DIY kwa sisi bado.
Sasa hapa kwenye bongo content kiukweli ndio shida. Hata sisi age go tunapenda kucheki content hasa kwa lengo la kuondoa stress. Nyingi pia zinafundusha, hasa masuala ya kimahusiano pia. Sasa tatizo linaanzia hapa.
Kuna yale voice over. Kiukweli hakuna kitu kinanichefua kama hayo. Naweka mifano hapa:
1. JESUS!!!
2. HAKUNA!!!
4. APALAKWEEE!!!
5. ETC
Halafu wanasindikizia na vicheko utadhani maruhani yana sherehe. Wakati mwingine wala hakuna haja ya kuweka hizo takataka. Kwani content yako haitoshi kutuchekesha hadi utulazimishe na kifungashio?
Naomba ujumbe huu uwafikie. Kama wewe ni content creator achana na hayo makelele. Ujumbe wako utoshe kutuvuta.
Tunaonekana hatuna staha kwa kuangalia huo ujinga. Wakati mwingine unakuta content ni nzuri na unaenda nayo wee halafu ghafla vinakuja vile vicheko kama maruhani. Wala havikuwa na sababu. Badala ya kufurahia unajikuta unajisikia aibu.
Mnatufanya tukiona content zenu tuondoe sauti, kitu ambacho sio sahihi.
Jamiiforum kama hamtajali naomba ujumbe huu muusambaze kwenye vyanzo vyenu vingine ujumbe ufike. Wenye akili wataelewa.
Napenda kile cha yule mtoto anacheka kinafkiHiki kitu kinakera sana, hadi mtu unaona aibu kufungua kichekesho mbele za watu.
Kuna kile kinatukana "kmmakeee"
Yule dada anaduka la matusiHujakutana na Rachel dangwa utazima simu,,,
Aseeh anaongea hovyo mno, mpk inakuwa jauYule dada anaduka la matusi
Hakunaaa😂😂ushindwee🤣🤣Jamiiforum kama hamtajali naomba ujumbe huu muusambaze kwenye vyanzo vyenu vingine ujumbe ufike.
HUWEZI KUPINGA NAMNA HIYOKuna wengine hivyo vionjo vya mwisho ndio tunavifurahia kuliko ujumbe wenyewe
Labda we ni mwendawazimu 😂😂😂Kuna yale voice over. Kiukweli hakuna kitu kinanichefua kama hayo. Naweka mifano hapa:
1. JESUS!!!
2. HAKUNA!!!
4. APALAKWEEE!!!
5. ETC
Halafu wanasindikizia na vicheko utadhani maruhani yana sherehe. Wakati mwingine wala hakuna haja ya kuweka hizo takataka. Kwani content yako haitoshi kutuchekesha hadi utulazimishe na kifungashio?
Hakunaaa😅HUWEZI KUPINGA NAMNA HIYO
Simeone kusema wewe "mbaba" sio poa , achana na hizo mbanga bwasheeHakunaaa😂😂ushindwee🤣🤣
Huoni jinsi nimenogesha hapo hivyo vitu ndo vinafurahisha we mbaba.
Content ina kuwa content kutegemeana na kiwango cha stress za mtazamaji piaVitu vya kitoto sana watu mnaita content? Yaan sijaona Cha maana zaid wanaume kuvaa nguo za kike na mawigi watu kuongea upuuz puuz tu usio na maana
Wasichana sijui wadada kutikisa makalio na kuyaonyesha aiiiiiii hapana
Kutuonyesha makalio ww mtazamaji unanufaika nin? Au ndo stress hupunguaContent ina kuwa content kutegemeana na kiwango cha stress za mtazamaji pia