Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Hivi hii imekaaje?
Kuna jamaa yangu nilikuwa namdai ni muda sasa, yaani naweza sema ni mdaiwa sugu.
Sasa jana usiku ameunda Group la WhatsApp na kutu"add" watu woote tunaomdai, Group linaitwa "WADENI WANGU".
Eti humo ndio atakuwa anatupa feedback kwa pamoja, maana anapata tabu tumjulisha mmoja mmoja.
Watu mishahara ikisoma wanakuwa na mbwembwe sana!
Imekaaje hii wadau? Au ni"left" tu?