Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Tulicharazwa bakora na wanafunzi wa sekondari ya bweni "Bwiru Boys".
ILIKUWA HIVI...
Kulikuwa na upinzani mkali wa kabumbu kwa timu za shule kati ya shule yetu ya sekondari yaani "KITANGIRI SEC" na shule ya bweni ya wavulana yaani "BWIRU BOYS SEC".
Bwiru Boys wana viwanja viwili vya mpira wa miguu, Kiwanja cha chini (OT) na kiwanja cha juu (ANFIELD).
Waliupenda sana uwanja huo wa juu & hawakuwa wamefungwa pale kwa muda mrefu, "ANFIELD" a.k.a "MAJOGOO WA JIJI".
Wanakutana na KITANGIRI SEC ilokuwa formula sana na ikiwa imetoa vijana waloshika nafasi ya tatu (3) kwa timu ya Taifa ya Vijana Tanzania NGORONGORO HEROES pale SUDAN.
KUMBUKA: Mwl. Mkuu wa KITANGIRI SEC, JOYCE MANYANDA ameshasema kosa la kupigana huna shule.
Mwanzo wa dakika 45 za First Half, KITANGIRI SEC 3-0 BWIRU BOYS,
Kipindi cha pili tunawapiga MBILI zingine pale kwao ANFIELD, Game linaisha 5-0. Wote wanachuma fimbo wanaanza kutuchapa ovyo ovyo,
Tulitengeneza mistari ili wasichana wetu wakimbie tukachapwa wanaume tu.