Hii ime kaa vipi..

ThugMaster

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
1,594
Reaction score
2,234
UFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR.
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-

1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar[emoji85]
2. Unaishi Mwanza ila wimbo wako bora ni "ninogeshe" ya nandy, nampa papa we nae ni mwanaume wa Dar[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂
3. Uko arusha ila unakula soda na biscuits unashiba na kulala kabisa Usiku, we ni mwanaume wa Dar[emoji32]
4. Unaishi kigoma ila TV show unazoangalia ni shilawadu, chereko na ng'aringa'ri,na nyimbo zako tarabu wewe ni mwanaume wa Dar[emoji12]
5. Unakaa mbeya ila unaagiza chips yai afu unakazia iwe na tomato nyingii, we ni mwanaume wa Dar[emoji4][emoji4]
6. Uko Iringa ila Unachatt kwa kuandika x badala ya s, lmao, lol ,jomon [emoji3][emoji3] wewe ni wa Jiji la Makonda[emoji3][emoji3]
7. Unavaa surual mebana chin afu unaivuta usawa wa kigimbe wew ni mwanaume wa dar[emoji15]
8. Unaishi Musoma alafu uvaa Helen na nyweli unapaka rangi ya nyumba Dar[emoji35][emoji35]
9. Unaishi Simiyu ila uktoka kuoga unavua kila kitu ndo upake mafuta, wewe ni mwanaume wa Dar[emoji41][emoji41]
10. Unaishi mtwara ila unaweka status picha ishirin, wewe ni mwanaume wa Dar[emoji850][emoji4]

Aman iwe nanyi wanaume wa Dar mlioko mikoani[emoji35]
 
Mwanaume unanunua muwa unaomba umenyewe haitoshi kabisa unaomba ukamuliwe unywe juisi?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

no 9 kumbe wanaume wa dar ndo wako hvyoo
 
Mwanaume kuoshwa miguu na mwanaume mwenzio

mwanaume unapiga picha ulimi nje
 
Mbona wanaume wa Dar mmekaa kimya? Kweli mko hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…