We ulitongozwa?! Hamjatulia wote..Tena mafagio ya jiji!!!
Hahahahahahaha!! nimeipenda hii...We ulitongozwa?! Hamjatulia wote..Tena mafagio ya jiji!!!
...aaaah jamani BJ, yaani huamini ule msemo " LOVE AT FIRST SIGHT" ?
Kanifurahisha kweli Nyamayao kwakuwa muwazi na mkweli :ranger:
Leo naona imekolea si mchezo!.Nauamini mkuu ila mleta thread ni kama vile anausaga upande wa customer care, kumbe walishiriki wote kitendo!..
Nyamayao kagonga straight kwa point, hataki kuzungushana au i lavyuuu nyingii mpaka headache,ha ha
Leo naona imekolea si mchezo!.