Hii imekaaje Bday ya Nillan ,Mzee Shamte kupewa kipaumbele zaidi kuliko mzee Abdul?

Hii imekaaje Bday ya Nillan ,Mzee Shamte kupewa kipaumbele zaidi kuliko mzee Abdul?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kwa kweli naona hapa mzee Abdul kiroho kitakuwa kinamuuma kweli kuona yeye kutopewa nafasi ya kuhudhuria kwenye Bday ya mjukuu wake Nillan badala yake amepewa Mume mwenza (Shamte)

Hili ni pigo takatifu analopokea mzee Abdul.

Poleni sana nyie mnaotelekeza familia ,hili linalomtokea mzee Abdul liwe funzo kwa wote.
 
Aithee Mim Nyie Mim Siwawez Mana Aya Mambo Ya Kufatilia Maisha Ya Watu Kiundan Zaid Siyawez Aitheee
 
Aithee Mim Nyie Mim Siwawez Mana Aya Mambo Ya Kufatilia Maisha Ya Watu Kiundan Zaid Siyawez Aitheee
Shamte yupo Sauzi ,na Bday ipo Sauzi ,na leo walikuwa wapo na Mondi walikuwa wakishirikiana kuweka mambo sawa kuhusu hiyo bday
 
Back
Top Bottom