Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #21
basi ulikuwa unanikosea sana.Kusema ukweli hata mi nilikua najua wewe kama sio mange basi utakua hamisa mobeto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi ulikuwa unanikosea sana.Kusema ukweli hata mi nilikua najua wewe kama sio mange basi utakua hamisa mobeto
Mambo ni moto huko south[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Mambo ni hiviiiii
Mobeto hajaweka Party huko south?Mambo ni moto huko south
Sahivi anatupia chenji kwenye kibubu, birthday ikifika tutamuona na gauni lake la mshazaliMobeto hajaweka Party huko south?
Maana hachelewagi yule....
Kama hivyo jiondoe tu kwenye hii forum ya celebrity !Aithee Mim Nyie Mim Siwawez Mana Aya Mambo Ya Kufatilia Maisha Ya Watu Kiundan Zaid Siyawez Aitheee
"Ukiona fursa, ikamate"
Mambo ni fireMambo ni hiviiiii