Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
hahahah kmmmkWewe mbona unadanga hatusemi mwizi?
Kumekuwa na tabia watangazaji wa vipindi vya redio Clouds na E.fm kuchezesha kamari katika kila vipindi.
Kwa nyakati tofauti watangazaji hao wamekuwa wanawashawishi wasikilizaji wao wawe mamilionea kwa kuwaambia watume pesa kwa namba wanazozitaja huku wakitaja dau.
Mwisho wa vipindi huwapigia simu washindi baada ya kucheza droo.
Hivi leseni zao zinaruhusu kuchezesha kamari?
Hili hata mimi nilishawahi kumuuliza mke wangu akabaki anashangaa tu,jamaa hawa siku hizi kila kipindi chao chochote kile hadi vya usiku wa manane lazima droo ya kamari ichezeshwe,yaani nimegundua ndio ubunifu mpya walionao,kula yao inapitia kwenye kamari,matangazo yamebuma,hali ngumuKumekuwa na tabia watangazaji wa vipindi vya redio Clouds na E.fm kuchezesha kamari katika kila vipindi.
Kwa nyakati tofauti watangazaji hao wamekuwa wanawashawishi wasikilizaji wao wawe mamilionea kwa kuwaambia watume pesa kwa namba wanazozitaja huku wakitaja dau.
Mwisho wa vipindi huwapigia simu washindi baada ya kucheza droo.
Hivi leseni zao zinaruhusu kuchezesha kamari?
Haramu wenzio wanasukuma mandinga ya maana. Na Wananunua apartments Palm Village 350m TZS. We endelea kulala sebulen kwa Shemeji yakoKamari ni haramu🏃🏃🏃
Kama hupendi tulia. Wajinga bado wengi chi hii. Ndo maana ya Elimu bureHicho ndo kinanifanya nisiweze kusikiliza hivyo vituo Coz sipendi kamari za namna hiyo ambazo sijui zinavyochezeshwa kupata mshindi
Sawa sawa mkuu haina nomaKama hupendi tulia. Wajinga bado wengi chi hii. Ndo maana ya Elimu bure