Hizo kamari wachezeshe tu, hakuna wanachopunguza. Ila kwa vipindi vya michezo, EFM kwa siku hizi ni takataka, umejaa umbea tu makele na habari zao binafsi. Clouds wana dosari zao, ila za kawaida tu. Na nisiposikiliza nahisi kabisa kuna kitu nimekosa.