Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Na wewe pigia simu washikaji wako waje na viboksa tuSalamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa
Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia
Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao
Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo
Sasa mi nashindwa kuelewa mbaya zaidi Utasikia Shem tuna njaa twende kwako ukatupikie
Nyie wenzangu mnawezaje binafsi Huwa ikitokea Hali Kama hiyo Mimi na huyo demu ndo tunaishia hapo hapo
Nimekuita wewe njoo wewe Kama wewe siku nikiwa na shida na hao Wana ukoo nitaitisha kikao
Usimfundishe kila kitu 😀😀😀😄😄penye miti hapana wajenzi
Ita baharia mwenzako ye ale mbusususu ya huyo mwingine na ww ya demu wako inakua tamu hiyoSalamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa
Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia
Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao
Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo
Sasa mi nashindwa kuelewa mbaya zaidi Utasikia Shem tuna njaa twende kwako ukatupikie
Nyie wenzangu mnawezaje binafsi Huwa ikitokea Hali Kama hiyo Mimi na huyo demu ndo tunaishia hapo hapo
Nimekuita wewe njoo wewe Kama wewe siku nikiwa na shida na hao Wana ukoo nitaitisha kikao
2011 nilikuja dar na nikakaa miezi 6 kwa kazi maalumu,kazi ilikuwa ngumu sana,kika siku naanza saa 1 asubuhi na kumaliza saa 12 jioni yaani napumzika saa 7 hadi saa 8.Basi nikazoeana na dada mmoja hivi akawa anakuja hadi napokaa kunileta siku nikitoka bila usafiri maana yeye alikuwa na gari.Tulizoeana na nikamtongoza,basi toka nilivyomtongoza akawa haji pekee yake,anaingia hadi chumbani kwangu na rafiki yake.Yote ni kunizuia nisimnyandue.Salamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa
Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia
Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao
Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo
Sasa mi nashindwa kuelewa mbaya zaidi Utasikia Shem tuna njaa twende kwako ukatupikie
Nyie wenzangu mnawezaje binafsi Huwa ikitokea Hali Kama hiyo Mimi na huyo demu ndo tunaishia hapo hapo
Nimekuita wewe njoo wewe Kama wewe siku nikiwa na shida na hao Wana ukoo nitaitisha kikao
Angalia mambo in a mathematic perspective kama girlfriend wako ana girlfriend basi una magirlfriendSalamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa
Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia
Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao
Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo
Sasa mi nashindwa kuelewa mbaya zaidi Utasikia Shem tuna njaa twende kwako ukatupikie
Nyie wenzangu mnawezaje binafsi Huwa ikitokea Hali Kama hiyo Mimi na huyo demu ndo tunaishia hapo hapo
Nimekuita wewe njoo wewe Kama wewe siku nikiwa na shida na hao Wana ukoo nitaitisha kikao
wewe unaweza ndiyo maana wanakuja na marafiki. Anzisha Movie theatre kama za akina Ronaldo au 50 centSalamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa
Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia
Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao
Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo
Sasa mi nashindwa kuelewa mbaya zaidi Utasikia Shem tuna njaa twende kwako ukatupikie
Nyie wenzangu mnawezaje binafsi Huwa ikitokea Hali Kama hiyo Mimi na huyo demu ndo tunaishia hapo hapo
Nimekuita wewe njoo wewe Kama wewe siku nikiwa na shida na hao Wana ukoo nitaitisha kikao
Wakule wote.Salamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa
Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia
Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao
Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo
Sasa mi nashindwa kuelewa mbaya zaidi Utasikia Shem tuna njaa twende kwako ukatupikie
Nyie wenzangu mnawezaje binafsi Huwa ikitokea Hali Kama hiyo Mimi na huyo demu ndo tunaishia hapo hapo
Nimekuita wewe njoo wewe Kama wewe siku nikiwa na shida na hao Wana ukoo nitaitisha kikao
Anazingua😄Usimfundishe kila kitu 😀😀😀