Hii imekaaje hii?

Hii imekaaje hii?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Paul Makonda si mtaalamu wa saikolojia, Paul Makonda hana taaluma ya ukocha wa mpira wa miguu.
Lakini anapewa airtime ya kutosha kwenye timu
ya taifa ilihali tunao legendary kibao kama Ally Mayai, Leodger Tenga n.k

Siasa kwenye michezo haikubaliki.
FB_IMG_1562045442128.jpeg
 
Back
Top Bottom