Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
🤣🤣Kuna binti nilimpeleka kumtambulisha kwa mama yangu kwa ajili ya kumuoa,Mama alipiga story na yule binti kwa masaa 7 tu.24>28!!?? Kwa maelezo hayo, sijaona sababu ya kuacha mtoto wako! Na hata binti, labda kuna mengine unaficha.
Jioni yake nilipomuuliza amemuonaje mkwe wake? alinijibu 'binti Ni mzuri Ila amekuzidi umri' Ilhali binti nilikuwa nmemzidi miaka 2!!
Nililazimisha nikamuoa,kilichonikuta nilielewa kwanini marehemu mama yangu alisema nmezidiwa umri.