Hii imekaaje kisheria na itanibana kwa kipengele gani, na nijiandae na nini?

24>28!!?? Kwa maelezo hayo, sijaona sababu ya kuacha mtoto wako! Na hata binti, labda kuna mengine unaficha.
🤣🤣Kuna binti nilimpeleka kumtambulisha kwa mama yangu kwa ajili ya kumuoa,Mama alipiga story na yule binti kwa masaa 7 tu.
Jioni yake nilipomuuliza amemuonaje mkwe wake? alinijibu 'binti Ni mzuri Ila amekuzidi umri' Ilhali binti nilikuwa nmemzidi miaka 2!!

Nililazimisha nikamuoa,kilichonikuta nilielewa kwanini marehemu mama yangu alisema nmezidiwa umri.
 
Hahahahahahahahaha we jamaa noma, kwahio bimkubwa alimaanisha nini kutumia lugha ya umri
 
Baba sio jina la ubatizo ni majukumu mkuu. Afanye utaratibu kupata hicho cheti alee mtoto wake tu ila kutelekeza mtoto huo si kitu chema.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mother aliona mbali wakati wewe uliwaza utamu tu.
 
Daah sijui maza ako aliona nini kwa huyo binti.....ndani ya muda mfupi[emoji23][emoji23]
 
Daah sijui maza ako aliona nini kwa huyo binti.....ndani ya muda mfupi[emoji23][emoji23]
Wamama kupitia experience ya maisha waliyonayo wanajua mambo mengi unakuta mmama hajaenda shule lakini wewe njoo na degree yako ya saikoloji still anakugalagaza kwenye kusoma watu
 
Kama wakipeleka kadi ya Kliniki na ikaonekana wewe ndiye baba ya huyo mtoto, lazima utoe pesa za matunzo hakuna ujanja ujanja. Kosa kubwa tunalofanya ni kuanza kuzaa bila ya kujipanga vya kutosha kuhudumia familia zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…