Hii imekaaje kitaalamu? CHADEMA wanatembeza hashtag ya katiba mpya, lakini wanamzuia Msigwa asitoe maoni kuhusu Royal Tour, wanaaminika?

Mbowe alienda Ikulu kwa mama baada ya kutoka jela kwanini hadi leo hajaeleza waziwazi walifuata nini ikulu? kwanini aliachiwa na kwa mujibu wa Mahakama alikuwa na kesi ya kujibu? Je kwenda kwake kwa mama kuna mahusiano gani? aeleze kama rushwa ilitamalaki au chochote kile maana alitoka breaki ya kwanza ikulu

Msigwa ni muelewa, na yeye hili jambo la mbowe lilimuuma sana lakini waliamua kubaki kimya kumuheshimu mwenyekiti wao lakini utaona kwamba Chadema sasa haiaminiki tena tutegemee upinzani ulio dhaifu zaidi mpaka mbowe aeleze nini kilimpeleka kwa mama ikulu
 
Mkuu hujui kama huyo ni...wa siasa? Usimwamini kabisa

Uko sahihi, maana kuna wengine kama unakumbuka walikuwa wakizunguka huko kwa muda wa miaka 7 kwamba fulani ni fisadi, lkn baadaye wakaja na kuanza kusema huyo mtu si fisadi.
 
Chadema ni taasisi. Msigwa katoa maoni yake kama yeye na wanaompinga wanampinga kama watu binafsi siyo chadema! Shida yenu hata mekuona mtu bnafsi akitoa maoni yake anasema ni chadema! Unafikiri wote walikuwa wanajua masharti ya kijani kipindi cha yule rais fedhuli walikuwa wanamuunga mkono???
Hao chadema walisemabkwenye kikao gani juu ya kauli ya msigwa!
Tuache uhaya wani
 
Wanampinga kama chadema
 
Mbowe alitoka na Hela nyingi, nyingine alienda kugawa kanisani milioni mia moja
 
Mkuu, ungetusaidia kidogo kwa kutiwekea barua/taarifa rasmi kutoka Chadema ikimpinga Msigwa.
Acha upumbavu- unachukua mawazo ya mtu mmoja wa Chadema na kuyafanya ndio msimamo rasmi wa chama.
Umeandika mataputapu tu hapa, jinga kabisa
 
Aisee!
Em onyesheni mifano. Lumumba kuna uhuru wa kusema?
Kwani mgombea uenyekiti ccm huwa siyo mmoja?
 
Mkuu, wewe umeona kuhusu uhuru wa maoni tu. Lkn chadema ni taasisi ya utawala wa kimla pia tyrant. Kama unabisha, jaribu kugombea uenyekiti wa chama ndiyo utaelewa. Utapewa kauli moja tu, sumu haionjwi.
Vyama vyote tuuu,,kamuulize Kabudi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…