kwema? naamini niko jukwaa sahihi.....but i know it might be seen crazy what i am about to say/ask
kwanini mtu hachukizwi na chake (kama anachukizwa basi ni kwa kiasi kidogo tu) hata kama ni kinyaa?
mifano ipo mingi lakini michache ni harufu ya hewa chafu, harufu ya kikwapa, harufu ya boksa (chupi) n.k....
hii ipoje kibaiolojia?