Tecno phantom 8 ya mwaka 2018 inagonga 4k na 30fpsKwa hiyo nikirecord 4k 60fps ni sawa na mtu wa tecno akirecord 4k 6pfps?
Kwanza nimeenda mbali. Hakuna Simu ya Tecno inarecord 4k at 60fps.
Imagine katika simu zote za tecno zilizopo sokoni simu yenye OIS kwenye camera ipo moja tu.
Tecno phantom X inagonga 4k 60fpsKwa hiyo nikirecord 4k 60fps ni sawa na mtu wa tecno akirecord 4k 6pfps?
Kwanza nimeenda mbali. Hakuna Simu ya Tecno inarecord 4k at 60fps.
Imagine katika simu zote za tecno zilizopo sokoni simu yenye OIS kwenye camera ipo moja tu.
Uchi wa mtoto my footHizo simu za uwezo huo unaziona tu kama uchi wa mtoto, huna uwezo wa kuimilik
Swala la pili ni Toleo moja tu la samsung sijui hizo S21 Samsung
iPhone n kuanzia iPhone 12 .. kimsingi nao n toleo moja hili la sasa la pili
Nayo unaiona kama uchi wa mtoto tu
Hahahah... Haya wangapi wana simu kama hiyo?Tecno phantom X inagonga 4k 60fps
Imetoka mwaka huu
Ujinga mtupu mnajaza vichwan
Oneni hii takataka kwa hiyo tecno phantom 8 ndio simu ya kwanza kurecord 4k at 30fps. Hahahahh watu wa tecno mna shida sana.Tecno phantom 8 ya mwaka 2018 inagonga 4k na 30fps
NB. mwaka 2018
Wakati huo hao unao waabudu bado hawakua na uwezo huo
Unaanza ruka ruka ??Hahahah... Haya wangapi wana simu kama hiyo?
Kwanza simu yenyewe ina Soc ya 12nm.
Imagine 12nm mwaka 2021. Halafu unalipa milioni.
Aiseee utakuwa Poyoyo...
Gap bado ni kubwa....Unaanza ruka ruka ??
Mambo yanabadilika, kilicho tokea ni 2010,s sio kinacho endelea ni 2020,s Huku
Gap lilikuwepo zamani sio siku hzi , hiyo kitu haipo
Na hiyo simu yenye 4k 6fps n simu gani? Au ulikosea kuandikaGap bado ni kubwa....
Labda siku tecno akiingia kwenye Soc za Mediatek ambazo ni Dimensity na hapo hamtauziwa tena simu kwa laki 2.
Ila as long as tecno inatumia Mediatek za kawaida basi itabaki kuwa trash...
Siyo 6fps ni 60fpsNa hiyo simu yenye 4k 6fps n simu gani? Au ulikosea kuandika
Soma kule juu, uliandika sim inayo rekod 4k 60fps n sawa na simu inayo record 4k 6fps?Siyo 6fps ni 60fps
Zipo simu nyingi zinazorecord 60fps ya 4k. Kuanzia simu nyingi zilizotoka 2019 na SoC ya SD 855 zinarecord 4k at 60fps. Hapa kuna msururu wa simu nyingi sana.
Poco f3 sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatoa milioni unanunua hilo, we akili kichwani?
Hiyo Simu imeizidi nini Xiaomi Poco F3 pro?
Oppo labda kama unazungumzia Oppo hizi za kidwanzi zinazoletwa Bongo...Nikiona mtu anatumia tecno, infinix, itel, oppo, namuona kama mpuuzi flani hivi
Simu zenye 4k 60fps siyo nyingi....Soma kule juu, uliandika sim inayo rekod 4k 60fps n sawa na simu inayo record 4k 6fps?
Uliandika hivyo, manake nikiangalia simu karibun zinaanza 30fps hadi 60fps
F3 pro siyo f3....Poco f3 sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah wa tecno mtuhurumie
Asante.Mkuu tafuta pesa Tecno na Itel sio simu ni calculators tu hizo.
Huu uzi ni mahususi kwa sisi masikini kujifariji, sizitaki mbichi hizi...ila tungekuwa na kipato cha kutosha wengi wetu tungenunua hizo Samsung na iphone pro max
NA USHAMBA..Hizi simu ni under quality kwa tafiti za nani? Na nani alikwambia hazitumiki zinapotoka? Narudia tena mnao diss hizi simu hamna hoja za msingi zaidi ya kashfa na dharau.